excrescence

n tezi, kinundu (kitu kisicho cha kawaida kinachojitokeza katika mwili au mmea). excrescent adj -a kuzidi kadiri inayotakiwa, -a zaidi.