vt~ (from) 1 (remove, shut out) toa, acha, tenga ~ him from thelist mtoe katika orodha be ~d from achwa ~ from the mind ondoa katika mawazo. 2 (refuse) zuia ~ from membership of a club zuia mtu kuingia katika kilabu. exclusionn. excludingprep mbali na, kuondoa, bila ya excluding the children there were 20 people mbali na watoto kulikuwa na watu 20. exclusiveadj 1 (of persons) nayejitenga (kwa kujiona bora), -siyechanganyika na wengine, pweke. 2 (of a group/society) maalum (kwa watu fulani tu). 3 -a pekee Dictionary making is not his exclusiveemployment utungaji kamusi si kazi pekee anayoifanya. 4 exclusive of pasipo, bila kuhesabu, mbali na. exclusivelyadv.