excite

vt 1 sisimua, chochea an exciting book kitabu cha kusisimua the freedom fighters ~ d the peasants to rise against the colonialists wapigania uhuru waliwachochea wakulima kupigana na wakoloni. be ~d sisimka don't ~ yourself tulia. 2 (cause) amsha ~ attention tazamisha, vuta macho ~ desire tamanisha, tia shauku/ashiki/tamaa, sisimua drugs that ~ the nerves madawa yaamshayo neva. excitement n msisimko, taharuki, mpwitompwito be in a state of ~ment sisimkwa, taharuki, -wa na mpwitompwito. excitable adj. excitability n. excitedly adv.