excise

excise

1 n ushuru. ~ duty n (leg) ushuru. ~ officer n afisa wa ushuru. ~ revenue n mapato ya ushuru.

excise

2 vt kata (sehemu ya mwili, kitabu, n.k.); ondoa, toa. excision n.