exchange

n 1 kubadilishana an~ of views kubadilishana mawazo in ~ for badala ya. 2 (of money) kubadilisha/ mabadilishano ya fedha rate of ~ kima cha mabadilishano ya fedha foreign ~ fedha za kigeni. ~ Control n Udhibiti wa fedha za kigeni. 3 ofisi. labour ~ n ofisi ya kazi, leba telephone ~ ofisi ya simu. 4 soko. Stock E ~ n Soko la Hisa. vt badilishana ~ presents peana zawadi ~ greetings salimiana, amkiana. ~ blows pigana. ~ words (with) bishana. exchangeable adj.