except

(prep) isipokuwa, ila. vt ~ from acha, -tohesabu. present company ~ed ukiacha waliopo hapa. excepting (prep) (used after not, always and without) kuacha, kutoa not ~ing bila kuacha/kutoa. exception n 1 jambo la pekee, jambo lisilofuata kawaida. with the ~ion of isipokuwa. 2 (objection) kinzano, maudhi, kikwazo. take ~ion to udhiwa/kerwa na, kinza. exceptionable adj -nayochukiza. 3 (gram) -siofuata kanuni. exceptional adj -sio -a kawaida, -a pekee, bora sana. exceptionally adv.