excavate

vt chimbua, fukua (hasa kwa ajili ya utafiti wa vitu vya kale). excavator n mtu au mashine inayochimbua. excavation n. uchimbuaji; sehemu inayochimbuliwa au iliyochimbuliwa (yaani shimo).