n 1 mfano. set an ~ onyesha mfano. for ~ kwa mfano, mathalani. 2 kielelezo. 3 funzo, fundisho let this be an ~ to you liwe fundisho kwako make an ~ of somebody adhibu kama fundisho/mfano kwa wengine. exemplarn sampuli, mfano. exemplaryadj. exemplifyvt onyesha kwa mfano, -wa mfano.