exact

exact

1 adj 1 sahihi, hasa, barabara, kamili his ~ words maneno yake hasa. 2 -enye uwezo kamili. an ~ memory n kumbukumbu iliyo barabara. exactly adv kabisa, kamili that's ~ly right ni sawasawa kabisa it's ~ ly two o' clock ni saa nane kamili; (answer or confirmation) sawa, kabisa, hasa. ~ness; ~itude n.

exact

2 vt ~ (from) 1 toza, lipisha kwa nguvu. 2 hitaji, taka this work ~s closest attention kazi hii inataka/ inahitaji uangalifu sana. 3 (compel) shurutisha, lazimisha; sisitiza ~ obedience tiisha, shurutisha/ lazimisha kutii. exacting adj. exaction n 1 kutoza, kulipisha kwa nguvu. 2 kitu kinacholipwa k.m. kodi.