evidence

n 1 ushahidi, ushuhuda. give ~ toa ushahidi. (be) in ~ onekana wazi au kwa urahisi Hamisi was no where in ~ Hamisi hakuonekana popote. turn Queen's/King's/(US) State's ~ (of a criminal) toa ushahidi dhidi ya washitakiwa wenzako. 2 (usu in pl) alama, ishara. bear/give/show ~ of onyesha ishara za. vt (rare) shuhudia/thibitisha, onyesha. evident adj dhahiri, wazi. evidently adv.