ever

adv 1 (any time) wakati wowote nothing ~ happens here kwa wakati wowote hakuna kinachofanyika hapa. 2 wakati wowote hadi sasa have you ~ been there umepata kufika mahali pale. 3 kuliko wakati wowote it is darker than ~ kuna kiza kuliko wakati wowote mwingine. 4 (chiefly in phrases) daima, kila mara. for ~ and ~ dumu daima, daima dawamu ~since I was a boy tangu nilipokuwa kijana. 5 (colloq) run as fast as you ~ can kimbia kasi kadiri unavyoweza. 6 how did you ~manage? uliwezaje kweli? did you ~ ! Loo! did you ~ hear such a story umewahi kusikia hadithi ya aina hii. 7 (old use) daima I shall ~ be at your service nitakuwa daima tayari kukutumikia. 8 yours ~ (used at the end of the letter) wako daima. 9 ~ so, ~ such a sana. evergreen adj (tree, shrub) -siokauka, -enye majani mwaka mzima. n mmea wenye majani mwaka mzima. everlasting adj 1 -a milele, -a kudumu ~lasting life uzima wa milele. 2 -sioisha ~ lasting quarrels ugomvi usioisha n the E~ lasting n Mungu. everlastingly adv kila wakati. evermore adv milele for ~ hata milele.