1adj 1 (level) sawasawa, bapa. 2 linganifu, -enye urari. 3 (of temper) tulivu, -siokasirika kwa urahisi. 4 (of amounts, distances, values) imara, isiyobadilika be/get ~with somebody lipiza kisasi. ~ oddsn matumaini sawa at an~ pace kwa muda/mwendo usiobadilika. break ~(colloq) -topata faida wala hasara. 5 sawa. an ~ chancen fursa sawa. ~ handedadj -a haki. 6 (of numbers) shufwa. ~ numbersn namba shufwa. ~ powersn vipeo shufwa vt sawazisha. make ~/~ up linganisha, sawazisha. evenlyadv. evenness n.
even
2adv 1 (used to invite a comparison between what happened and what might have happened) He never ~ opened the letters hata barua hakuzifungua kamwe ~ now she does not believe me hata sasa haniamini. ~ so hata hivyo. 2 ~ if/ though(to call attention to the extreme nature of what to follow) hata kama ~ if you die hata ukifa ~ if you go, it is all the same to me hata kama ukienda ni mamoja kwangu.
even
3n (poet) jioni. evensongn Sala ya Jioni (kwa kabila la Kiingereza). eventiden (poet) jioni.