evangelical

adj 1 -a kiinjili. 2 -a kiprotestanti, -a kilokole. n mlokole. evangelist n mwinjilisti, mmoja kati ya waandishi wa injili (John, Luka, Matayo, Marko). evangelism n. uinjilisti; ulokole. evangelistic adj. evangelize vt fundisha Injili; shawishi mtu kuingia ukristu.