etiquette

n adabu, taratibu za itifaki/ mahusiano, miiko ~ of the bar adabu ya uwakili professional ~ adabu ya weledi/utaalamu; miiko ya kazi.