ethnic

adj -a kabila/mbari au makabila ya walimwengu; (colloq) -a kikundi cha utamaduni fulani. ~ ally adv. ethnography n ethnografia: maelezo ya kisayansi kuhusu mbari, mila, utamaduni n.k. ya binadamu. ethnographer n. ethnographic adj. ethnology n ethnolojia: sayansi ya makabila/mbari za binadamu, mahusiano kati yao. ethnologist n Mwethnolojia.