etch

vt chora juu ya metali kwa kutumia asidi kwa ajili ya kutolea nakala; tengeneza picha kwa asidi; (fig) ganda akilini. etching n sanaa ya uchoraji wa kutumia asidi; nakala ya picha iliyochorwa na asidi. etcher n mchoraji asidi.