estop

vt (leg) kataza, zuia, zibia. be ~ped zibiwa. estoppel n (leg) katazo, zuio, kuzibia, kuzibiwa: kanuni ya sheria inayomzuia mtu kukana au kukanusha ushahidi aliokwishatoa na kusema kuwa ni kweli.