estate

n 1 shamba. ~ agent n mkadamu, wakala: mnunuzi/mwuzaji wa kati. housing ~ n eneo la makazi. industrial ~ n eneo la viwanda. fourth ~ n (waandishiwa) habari. 2 milki, mali. personal ~ n mali ya mtu binafsi. 3 tabaka la watu. 4 (old use) hali. 5 stesheni wagoni: gari dogo lenye nafasi ya abiria na mizigo ndani.