establish

vt 1 weka, anzisha, unda, asisi. 2 (make firm) imarisha, weka imara, zatiti, rasimisha; thibitisha. 3 (appoint) weka, amuru, taifisha (kanisa) he ~ed his son in his farm alimweka mtoto wake katika shamba lake. 4 (prove) kubalisha, shuhudia, sadikisha ~ a reputation for jenga jina la. established adj imara, thabiti, madhubuti. establishment n 1 kuimarisha, kuweka, kuanzisha. 2 serikali; shirika; kampuni, n.k.; dini ya taifa kisheria; (of a department) idara na ikama. 3 E ~ment n (GB) wenye nchi, wenye madaraka.