esquire

n (GB) cheo cha heshima kinachoandikwa baada ya jina la ukoo, huandikwa Esq. baada ya jina k.m. John Smith Esq., badala ya Mr. John Smith.