escalate

vt,vi ongeza, endeleza, shadidisha hatua kwa hatua. escalation n. escalator n eskaleta: ngazi za umeme katika jengo.