errand

n 1 safari fupi k.m. kwenda benki na kurudi.to run ~s/to go on ~s for somebody tumwa na mtu. ~ boy n tarishi. 2 nia/madhumuni ya safari hiyo what is his ~? ameendea nini? a fool's ~ n safari ya kuzurura.