vi(formal) kosa, potoka it is better to ~ on the side of mercy afadhali kuwa mwingi wa huruma kuliko kuwa mwingi wa mateso. erroneousadj -enye kosa, -sio sahihi. ~oneuslyadv. ~oneusnessn kosa. spelling ~orsn makosa ya tahajia clerical ~ kosa la maandishi. ~or lessadj -siokosa/waa. in ~or kwa makosa. erraticadj 1 (of person or his behaviour) -siotabirika, -enye kukosakosa. 2 -potovu; (of things, e.g. a clock) -enye mwendo usioaminika. erraticallyadv. ~ atumn kosa (katika uandikaji au uchapaji) an ~atum slip karatasi yenye orodha ya makosa katika kitabu.