equivocal

adj 1 (of words) -a kauleni, -enye maana mbili au zaidi. 2 -a shaka. 3 (of character) -enye kupotosha, babaishi. equivocate vi tatiza maneno, sema maneno yenye maana isiyo dhahiri (hasa kwa kusudi la kutatiza au kudanganya). equivocation n 1 matumizi ya kauli tata. 2 kupotosha watu. 3 misemo isiyo dhahiri.