equestrian

adj -a kupanda farasi. ~ skill n ustadi wa kupanda farasi ~statue sanamu ya mawe ya mpanda farasi. n mpanda farasi stadi. equi (prefix) sawa. ~angular adj -enye pembe sawa. ~distant (from) adj -enye umbali sawa. n (maths) umbali sawa. ~lateral adj -enye pande zote sawa. ~lateral triangle n pembetatu sawa. ~librate vt sawazisha, linganisha. ~libration n. (in circus) ~librist n mnegaji (juu ya kamba), msawazishaji, mtu mwenye ujuzi wa kusawazisha katika mizani. ~librium n 1 ulinganifu, usawa. be in ~librium simama sawa, -wa na ulinganifu, tulia. 2 (maths) msawazo. ~librium price n bei sawa (ambapo bidhaa na mahitaji vinalingana).