equate

vt ~ (with) linganisha na, sawazisha. equation n 1 equation (with) kusawazisha, kulinganisha. 2 (maths) mlinganyo. equation of a circle mlinganyo wa duara.