episcopal

adj -a maaskofu, -a kuhusu maaskofu. the ~ church n (esp US, Scot) Kanisa la Kianglikana. episcopalian adj mfuasi/mwumini wa Kanisa hili. episcopate n 1 kazi ya uaskofu, ofisi/enzi/kipindi cha uaskofu. 2 (bishops) jamii ya maaskofu.