entrench

vt 1 zungushia handaki, zungushia boma (la kulinda maji, kambi, jeshi). 2 fanya madhubuti. ~ed clauses n vifungu (vilivyofungwa) vya katiba, fungu madhubuti. entrenchment n.