n 1 mlango/lango/njia ya kupitia, kuingia, kutokea kwa mchezaji katika jukwaa. 2 kuingia (to) force ~ ingia kwa nguvu. 3 haki ya kuingilia. fees~ n malipo, kiingilio. ~ examinationn mtihani wa kuingilia. entrantn 1 mwingiaji. 2 mshindani. entryn 1 kuingia. 2 mlango; ruhusa ya kuingia. no entry hakuna ruhusa kuingia. 3 ingizo. 4 (of a dictionary) kitomeo. 5 orodha/idadi ya washiriki katika mashindano.