enter

vt,vi 1 ingia; (stage direction in a printed play) ~ Hamlet/Kinjeketile Hamlet/Kinjeketile anaingia. 2 jiunga na shiriki, -wa mwanachama/ mshiriki wa. 3 ~ into (with) anza, fungua, fungulia. ~ into anza kushughulika na ~ into details anza kushughulika kwa undani. ~ into somebody's feelings hurumia, elewa kwa ndani ~ into the spirit of the occasion jiingiza kikamilifu katika shughuli, -wa sehemu ya. 4 ~ (in/up) ingiza/orodhesha (majina, taarifa kitabuni). 5 ~ for; ~ somebody for jiandikisha; andikisha kwa mashindano. 6 ~ on/upon ingia, anza kumiliki.