entangle

vt ~ (in) tega, tatanisha, tatiza, zongomeza; (fig) ingia au ingiza matatizoni/katika hali ngumu. entanglement n 1 mtego, tatizo. 2 (pl) mtego wa seng'enge.