ensue

vi ~ (from) tokana na, tokea/ tukia kwa sababu ya, fuatia, tokea baadaye. ensuing adj liyofuata.