ensign

n 1 (esp naval) bendera. 2 (US) cheo cha chini cha askari wa majini. 3 (old use) tepe (inayoonyesha cheo), askari aliyebeba bendera ya kikosi.