ensemble

n (F) 1 jumla. 2 (music) kipande cha muziki kinachoshirikisha wote, kikundi cha wanamuziki wapigao pamoja (kidogo kuliko bendi). 3 (trade use) suti ya kike.