enjoy

vt 1 faidi, furahia. 2 faidika na. vi 1 ~ oneself furahia, furahi. 2 -wa na. 3 ona raha, furahi. enjoyable adj. ~ ably adv. enjoyment n 1 raha, furaha; ridhaa. 2 milki na matumizi; -kuwa na the ~ment of good health kuwa na siha.