enigma

n fumbo, swali, mtu/kitu/hali inayotatanisha. enigmatic adj -a kutatanisha, -a fumbo. enigmatically adv.