n 1 injini. ~ drivern 1 dereva (hasa) wa treni. 2 (old use) mashine au zana. engineern 1 mhandisi. 2 (US) dereva wa treni. 3 the ~ersn kikosi cha ufundi/uhandisi. ervt 1 handisi. 2 panga au anzisha jambo fulani. ~er a project panga na anzisha mradi. engineeringn uhandisi.