engage
vt,vi 1 ajiri ~ an accountant ajiri mhasibu. 2 ahidi, jipa sharti, hakikishia. 3 ~ in shiriki katika, jishughulisha na ~ in politics jishughulisha na siasa. 4 be ~ed to marry chumbia; chumbiwa. 5 (usu pass) vutia nothing ~s her havutiwi na chochote. 6 (mil) shambulia, anza kupigana. 7 ~ (with) (of parts of a machine) fungamana; funganisha pamoja; (motoring) ~ the first gear weka/ingiza gea ya kwanza. 8 ~ upon anza; anzisha. engaging adj cheshi; -a kuvutia. engagingly adv. engagement n 1 (promise) ahadi, miadi. 2 shughuli. 3 (betrothal) ahadi ya ndoa/uchumba. ~ ment ring n pete ya uchumba. 4 mapigano, vita. 5 kwa gea. engaged adj 1 -enye kazi. 2 (telephone) inatumika, inaongea.