enfranchise

vt 1 -pa wananchi haki ya kushiriki katika uchaguzi k.m. wa wabunge, wajumbe wa halmashauri, n.k. 2 weka huru, toa katika utumwa. enfranchisement n.