energy

n 1 nguvu; bidii. 2 nishati. energize vt tia nishati, changamsha. binding ~ n nishati babadu. kinetic ~ n nishati mwendo. potential ~ n nishati tuli. thermal ~ n nishati joto. energetic adj -enye nguvu, bidii, juhudi. energetically adv. energetics n elimunishati.