endorse

vt 1 andika jina nyuma ya/katika cheki au hati fulani, wekea mkono/sahihi (kama uthibitisho). 2 (accept) idhinisha, unga mkono. 3 (usu pass) andika kwenye leseni kwamba dereva amevunja sheria. endorsement n.