endemic

n, adj ugonjwa ulioenea unaowapata watu fulani mara kwa mara k.m. malaria hapa Afrika Mashariki.