encore

interj. Rudia! Tena! vt (of a song, etc) taka kurudiwa au kuendelea kwa wachezaji wale wale the audience ~d the singer hadhira ilimtaka mwimbaji arudie tena. n kurudia tena wimbo/mchoro, n.k. kwa mwito wa wasikilizaji.