enclose

vt ~ (with) 1 zunguka kabisa; zungushia ukuta au boma. 2 tia/ funga (kitu) ndani (ya kasha, bahasha, furushi). enclosure n 1 kiwanja kilichozungushiwa ua au boma the enclosure of common land kuzungushia ua ardhi ya wote (kijiji, n.k.) kwa faida ya mtu binafsi. 2 (thing enclosed) kitu kilichotiwa ndani ya kingine (kama barua katika bahasha).