enchant

vt 1 (delight) pendeza mno, furahisha. 2 roga, sihiri; fanya mazingaombwe. enchanter n mchawi wa kiume. ~eress n mchawi wa kike. enchantingly adv. enchantment n 1 uchawi; maliwazo. 2 kurogwa. 3 furaha, raha.