emulate

vt igiza, iga, fuatisha; husudu; jaribu kushinda mwingine (kwa ustadi, tabia, akili, uwezo, ushujaa), shindana na. emulation n. emulative adj. emulator n.