vt 1 ajiri. 2 (make use of) tumia. 3 ~ in (often pass) shughulika; (ji)shughulisha. n kazi I am in his ~ nafanya kazi kwake. employableadj. employeen mwajiriwa, mfanyakazi. employern mwajiri. employmentn 1 ajira thrown out of ~ment fukuzwa kazi. be in/out of ~ment -wa na/kuwa bila kazi. ~ment agencyn wakala wa ajira. 2 (use) matumizi.