n mhemuko, hisia kubwa, jazba, mshtuko, mchomo wa moyo (to) appeal to the ~s gusa hisia. emotionaladj 1 -enye mhemuko/jazba (psych)~al disturbance mvurugiko wa akili. 2 -ilioelekezwa kwenye mhemuko. emotionlessadj bila hisia kubwa/ mhemuko. emotionallyadv. emotiveadj -enye kuamsha hisia. emotionalismn hali ya kuhemkwa mno.