eminent

adj tukufu, adhimu, maarufu. eminently adv. eminence n 1 mwadhama; ukuu, ubora, utukufu (wa daraja, cheo,tabia, sifa, uwezo). 2 kilima, mwinuko. 3 (R.C.) His/Your E~ Mhashamu/mwadhamu Kadinali.