embrace

vt 1 kumbatia; kumbatiana, piga pambaja. 2 (accept) kubali, pokea kwa moyo; tumia kwa bidii. 3 (include) jumuisha, ingiza. 4 (takein) fahamu, tambua. 5 (of religion) fuata. n kumbatio, pambaja. embraceable adj. embracement n.